
JINSI YA KUONDOKANA NA TATIZO LA UTI SUGU/ZA MARA KWA MARA, FANGASI UKENI NA P.I.D ( ...Pdf)
Utapata kufahamu Maana ya magonjwa Haya, sababu zake , Dalili zake , madhara Yake endapo hutapata matibabu mapema. Utazijua mbinu 6 ambazo zitakuwa silaha kwako kujikinga na kuondokana na Magonjwa Haya.